Psalms 9:2-4

2 aNitafurahi na kushangilia ndani yako.
Nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana.

3Adui zangu wamerudi nyuma,
wamejikwaa na kuangamia mbele zako.
4 bKwa maana umetetea haki yangu na msimamo wangu;
umeketi kwenye kiti chako cha enzi,
ukihukumu kwa haki.
Copyright information for SwhNEN